Kikao
cha utafiti kilichofanywa kwa kushirikiana ofisi ya taifa ya Takwimu ,Wizara
ya Afya ,Maendeleo ya Jamii ,jinsia,wazee na watoto TACAIDS,na shirika la ICAP
Tanzania.
Jumla
ya kaya 16000 zenye watu wazima 40.000 na watoto 8000 zimechaguliwa nchi nzima
kwa mkoa wa Singida , maeneoa saba (70 yamechaguliwa kwa ajili ya utafiti huu
hivyo tunategemea kaya 210 zitafanyiwa utafiti, kwa maana ya kaya 30
zimechaguliwa kwa kila eneo.
1.
Mpazu
kijiji cha kisana Wilaya ya Iramba
2.
Kidogwi
kijiji cha Nkungi Wilaya Mkalama
3.
Kiyero
kijiji cha maghoha Halimashauri ya Singida
4.
Mwanchichi na Darajani kijiji cha Mwankoko A
5.
Kilambida
mtaa wa kindai Singida Manispaa
6.
Ikhakhamo
kijiji cha Misake Wilaya ya Ikungi
7.
Mtakuja
kijiji cha sanza Wilaya ya Manyoni.
Utafiti
huo utaisaidia serikali katika kupanga na kusimamia utekelezaji wa sera Ya Afya nchini hususani upatikanaji
huduma za Afya.
0 Comments