Baada ya Yanga kupata ushindi wa mabao 2-1dhidi ya Mashujaa fc ya Mjini Kigoma hivi karibuni mchezo uliyochezwa katika dimba la Azam Complex ikiwa ni muendelezo wa michezo ya vipolo katika Ligi kuu NBC PREMER Tanzania Bara,
Mchezo wa Simba vs Azam fc Uliyochezwa katika dimba la CCM Kirumba na kutoka sare 1-1 umeongeza nafasi ya point kwa timu hizo kutoa point 37 kwa Timu hiyo kinara katika ligi Azam fc point 32 nafasi ya pili na Simba nafasi ya tatu point 30.
Azam itakuwa na tofauti ya point 5 na kinara wa ligi huku Simba ikiwa na tofauti ya point 7 pia Simba imesha cheza michhezo 13 ikiwa na kipolo kimoja mkononi dhidi ya Geita Gold fc Azam na Yanga zikiwa tayari zimekamilisha raund ya kwanza kwa michezo 14.
0 Comments