UFUNGUZI WA MPANGO WA UHAMASISHAJI WAKULIMA MKOA WA SINGIDA

Katibu tawala msaidizi uchumi na uzalishaji Bw Stanslaus chioja akifungua mkutano wa mpango wa uhamasishaji wakulima mkoa wa Singida, mkutano uliyo fanyika katika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa nakuwakutanisha na wataalamu mbali mabli wa kilimo Amcos na Saccos. 
Mrajisi masidizi mkoa wa Singida Bw Thomas nyamba akiwakalibisha wadau wa sekta ya kilimo ukumbini.
Mwakilishi Azania bank Bw Godwin seia akielezea mpango mkakati wa utoaji mikopo kwa wakulima na namna ya kupatamikopo kupitia Amcos na Saccos 

Meneja wa NSSF tawi la Singida Bi Mwampesya akifafanua jambo juu ya kujiunga na NSSF na upataikanaji wa mikopo kwa wakulima.

Bi Rehema chuma meneja wa NSSF Dodoma na kiongozi wa msafara wa wawezeshaji wa mpango wa uhamasishaji wakulima mkoa wa Singida.

Bi Grace mwangende kutoka tume ya maendeleo ya ushirika ofisi ya mrajisi wa vyama vya ushirika Tanzania Dodoma.
Steve kubena kutoka bodi ya nafaka na mazao mchanganyiko akifafanua jinsi bodi inavyofanya kazi zake huku ikitilia mkazo mazao ya maindi na alizeti.

Bw Iddi mnyampanda kutoka Mtinko Singida Dc akiuliza swali juu ya utoaji wa elimu kwa wakulima vijijini.

Bi Khadija magee akiuliza swali meza kuu.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments