KITUO KIPYA CHA SOBER HOUSE KANDA YA KATI






BiEmmi ally ghahae ni kurugenzi mkuu wa kituo MAMAS&PAPAS COMMUNITY REFORM REHABILITATION CENTER (sobar house)


Mandhali ya kituo kwa ndani ikiwa na uzio mzuri na usafi.

waadhilika wanapokuwa ndani pia wanapata elimu juu ya adhali ya utumiaji wa madawa.



kazi za mikono ni moja ya majukumu yao ili kujua maendeleo ya utimamu wa akilizao.










 






Mchungaji Matha matiku kitiku wa KKKT amekugwa na uanzishwaji wa sober kutokana na vijana wanavyo alibikiwa kila kukicha.

Shekh Salimu hassan chime shekh wa mtaa wa mandewa akitoawito kwa serikali kuendelea na mapambano dhidi ya madawa za kulevya.

Godfrey mushi au VEVE MUSHI mzee wa mtaa UNYANKAE kata ya MANDEWA SINGIDA mjini maali kituo kilipo akielezea manufaa ya kituo hicho kwa vijana.

Ommary hussen akielezea jinsi unga ulivyo mfilisi baada ya kuutumia kwa muda wa miaka kadhaa.




Iddi hussei mwaadhilika wa unga









Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments