TASAF YAZINDUA KIKAO KAZI CHA KUWAJENGEA UELEWA VINGOZI WA HALMASHAURI YA IKUNGI


Mkurugenzi mtendaji wa  wilaya ya Ikungi Bw Justice Kijazi akitoa neno la ukaribisho kwa wageni waalikwa katika mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa ofisi za Halmashauri ya wilaya ya Ikungi mkoani Singida.


Bw Kelvin Simon akisoma taarifa fupi ya TASAF kwaniaba ya mkurugenzi mbele wa mgeni rasimi mkuu  wa wilaya ya Ikung

Mwenyekiti wa Halmashauli ya wilaya na Diwani wa kata ya Irisia Mhe, Ally Juma Mwangi kwa niaba ya madiwani wa Halmashaauli hiyo akitoa neno la ukaribisho na kumkaribisha mgeni rasimi kufungua kikao hicho.



Mgeni rasimi katika kikao hicho ambaye ni mkuu wa wilaya ya ikungi Mhe, Edward mpogolo akifungua kikao kazi cha kipindi cha pili cha mradi wa TASAF chennye lengo la kuwaongezea uelewa viongozi mbali mbali kutoka ngazi ya kata wakiwemo madiwani wa Halmashauli,mafunzo hayo ya nadhalia na vitendo yatafanyika kwa siku Tano huku yakitembelea baadhi ya kata za wilaya hiyo ya Ikungi.


Bi Nuru Mkomambo Afisa ufuatiliaji wa miradi ya TASAF nchini akitoa elimu kwa washiri wa mafunzo.


Wadau wakichangia mada katika kikao hicho baada ya kupata maelezo mafupi kutoka kwa mwezeshaji.


Bw Msungu mdana    Katibu wa TASAF Halmashauri ya wilaya ya Ikungi.




Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments