Wafanyakazi wa shirika lisilo lakiserikari REDESO wakifwatilia kwa makini mafunzo yanayoendeshwa kuhusu ukatili wa kijinsia na wakingono.
Ndugu Paul Mng'ong'o mwezeshaji kutoka shirika la WE WORK akitoa mafunzo kwa wafanyakazi wa shirika la REDESO kuhusu kanuni za maadili sehemu za kazi.
Mwezeshaji ndugu Joseph Msami akiseminisha wafanyakazi wa shirika la redeso katika kipengele cha ulinzi dhidi ya ukatili wa kijinsia.



0 Comments