Imeelezwa kuwa Serikali imtoa fedha nyingi katika mpango wa kunusuru
kaya masiki Tasafu katika halamsahuri ya manispaa ya Singida.
Kauli hiyo imetolewa na
naibu waziri ofisi ya rais utumishi na utawala bora dkt merry mwajerwa wakati
akiongea na wanufaika wa mpango wa tasaf katika kata ya mtipa manispaa ya
singida.
Amesema Zaidi ya
bilioni mbili imeletwa kwa walengo pamoja na Zaidi ya milioni 137 zimetumika
katika mradi wa timiza malengo uliopo ndani ya mpango huo wa TASAFU
Nae mratibu wa mpango
wa kunusuru kaya masikini mkoa wa singida bw Patrick Kasango ametoa ufafanuzi tangu
kuanza kwa mradi huo na idadai ya wanufaika waliopo hadi hivi sasa.
Aidha diwani wa kata ya
mtipa Mhe na wanufaika wa tasaf wamezungumza na standard
radio kuhusu mpango huo huku wakimpongeza Rais John pombe mgufuli kwa kuendelea
kuwajali wanyonge.
| Wananchi wakimsikiliza naibu wairi . |
| Diwani wa kata ya mtipa Mhe Ramadhani Saidi yusuf akionge na wanahabari baada ya naibu waziri kumtembelea mnufaika wa mpango wa TASAF katika kata hiyo. |
| Mnufaika wa mpango huo akimuonesha waziri Dkt Mwanjelwa mifugo aliyonunua kupitia fedha hizo za TASAF. |
| Naibu waziri Dkt Mwanjelwa akimpatia mtoto wa mnufaika wa mpango huo kiasi cha 20,000 kwaajiri ya vifaa vya shule. |
| Mratibu wa TASAF mkoa wa Singida Bw Patrick kasango akifafanua jambo juu ya mpago huo. |



0 Comments