Singida
Imeelezwa
kuwa serikali baada ya kugundua kuwepo kwa uozo kwa watumishi mbalimbali
wanaokaimishwa nafasi mbalimbali waliamua kuja na waraka unaoelekeza kikomo cha
mtumishi kukaimu katika nafasi husika.
Kauli hiyo imetolewa na
naibu waziri ofisi ya rais utumishi wa umma na utawala bora Dkt Merry Mwajerwa
wakati akiongea na watumishi wa halimashauri ya manispaa ya Singida.
Amesema suala la
kukaimu ndiko kunauozo mkubwa kutokana na watendaji hao kutokuwajibika kwa
ufanisi pamoja na watumishi hao kukaimu kwa muda mrefu.
Naibu waziri huyo
amewataka watumishi wote wa halmashauri hususani mkurugenzi na wakuu wa idara
kufanya kazi kwa ushirikiano ikiwanipamoja na kupokea ushauri wa kitaalamu unao
tolewa.
Katika hautua nyingine
amesisitiza sauala la mafunzo katika kazi ilikuwaongezea ujuzi watumishi hao.
Ziara hiyo ya naibu
wazairi mkoani Singida mbali na kukutana na kutatau kero mbalimbali za
watumishi katika halmashauri za mkoa wa Singida pia anapitia
kuangalia
utekelezaji wa mpago wa kunusuru kaya Masikini TASAFU.
| Wakuu wa Idara na watumishi mbalimbali wakimsikiliza Naibu waziri ukumbini hapo. |



0 Comments