SINGIDA
Mkuu wa mkoa wa Singida Dr Rehema Nchimbi ameziagiza mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA na NIDA kupeleka huduma kwa wanchi ili kuakikisha kila mmoja anayemiliki simu ya mkononi anasajiliwa kwa alama za vidole kwa lengo kudhibiti uhalifu nchini.
Akizindua kampeni ya usajiri wa simu kwa njia ya Biometric Dr
Nchimbi amesema njia hiyo itaondoa vitendo vya utapeli vinavyoendelea
kujitokeza katika maeno mablimbali nchini
Amesema usajiri wa simu kwa kutumia alama za vidole ni
ufumbuzi wa tatizo hilo kwa kuwa alama hizo hazifanani lakini akasisitiza zaidi
kampeni hiyo isiishie mjini pekee bali iwafikie hata wananchi wa vijijini
Uzinduzi wa kampeni hiyo inayoratibiwa na mamlaka ya
mawasiliano nchini TCRA umefanyika leo katika viwanja vya Stand ya zamani mjini
Singida.



0 Comments