Timu za Senegal na Japan
zimegawana pointi baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 huku sare hiyo ikiziweka
kwenye matumaini ya kufuzu hatua ya 16 bora baada ya kufikisha pointi nne kila
moja.
Senegal na Japan ili kuwa
na uhakika wa kufuzu hatua ya 16 bora inabidi kila moja ishinde au zitoke sare
katika mchezo wa mwisho huku Colombia ikihitaji ushindi baada ya kuitupa nje
polanda kwa bao 3-0 katika mchezo wa pili usiku wa jumapili.
0 Comments