BASI LA ABILIA LAGONGA NYUMBA SINGIDA

Basi la Tabora Moja lilivyogonga nyumba Manyoni mkoani Singida  wakati likitoka Dar kuelekea Tabora hivi karibuni.




Elias erinest eliah moja wa majeruhi kwenye ajali hiyo ni mwanafunzi wa chuo cha mahabara cha Singida.


Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments