Mtoto Anthony akitoka tuition kupata masomo ya ziada kufidia pale alipochelewa kufika shule ya Amani Vumwe iliyoko wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Mtoto huyo mkaza wa Kijiji cha Ngundusi wilayani Ngara mkoani Kagera alimshtaki baba yake polisi asiuze shamba licha ya familia hiyo kukabiliwa na umaskini,
Mungu amtangulie katika masomo yake na wale wote wanaojitolea kumsaidia ikiwemo familia baba yake na dada zake wawili walioko nyumbani ambao hawajapata mfadhili wa kuwasomesha kama kaka yao.
0 Comments