NAIBU WAZIRI WA UJENZI ATEMBELEA BARABARA YA SINGIDA - KATESH

Naibu waziri wa ujenzi Mh Elias Kwandika akikagua barabara itokayo Singida mjini kupitia Mtipa Manispaa ya Singida Ilongero,Mtinko, mpaka Katesh Hydom Manyara barabara hiyo serikali imetenga bajeti kwaajili ya usanifu ili kujengwa kwa kiwango cha lami katika bajeti ya mwaka huu,

Meneja wa TANROAD mkoa wa Singida Eng Leonard Kapongo akimwonyesha naibu waziri namna ya ujenzi huo wa barabara hiyo inayojengwa na mkandarasi mzawa inavyojengwa kwa kiwango cha lami kwa kilometa 3.














Wakati Naibu waziri akiwa njiani kuelekea Hydom alikutana na wanakijiji cha Ikolo wilaya ya Singida wakichimba barabara kwa madai kuwa wanaweka bums kwaajili ya kupunguza mwendo kasi wa mabasi madogo ya abiria.




Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments