WANANCHI TUPANDE MITI DC TARIMO

Mkuu wa wilaya ya Singida Bw Elia Tarimo
Mkuu wa wila ya Singida bw, Elias John Tarmo amewaomba wananchi kuhakikisha wanapanda miti ya aina mbalimbali ilikuweza kuhifadhi maziri kwa manufaa yao na taifa kwa ujumla .

Amesema hayo wakati akiongea na standard redio kuhusu kuhamashiasha kampeni ya kuufana mkoa wa Singida kuwa wa kijani kwa kupanda miti ya aina mbalimbali katika halmashauri zote za mkoa wa Singida.

Bw, Tarmo amesema kampeni hii ya kuufanya mkoa wa singida kuwa wa kijani imekuja kwa wakati muafaka kawani hali ya misitu ni mbaya baada ya wananchi kuanza kuhalibu misitu.

Amesemea miti inaumuhimu mkubwa katika jamii hasa katika kipindi kipi tunapoelekea nchi ya viwanda na uchumi wakati.


Akitika hatua nyingine bw, Tarmo ameitaka kampeni hii ya kuufanya mkoa wa Singida kuwa wa kijani kuwa endelevu katika maeneo mbalimbali.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments