| Hakuna sehemu ya kuifadhia vitunguu vinavyoletwa na kununuliwa na wafanyabiashara kutoka ndani na nje ya nchi pamoja na mkuu wa mkoa wa Singida Dr Rehema Nchimbi kutembelea na kuagiza manispaa kujenga vichanja maalimu vya kuwekea magunia ili vitunguu visipate maji. |
0 Comments