| Mkuu wa wilaya ya Singida Bw Elias Tarimo akipata maelezo mafupi kabla ya kuanza upandaji wa miti katika chanzo cha maji kilichopo katika kijiji cha Msange wilaya ya Singida. |
| Mkuu wa wilaya ya Singida Bw Elias Tarimo akiongea na wananchi . |
| Ni shamba la kilimo cha umwagiliaji wa shamba la Vitungu lililopo katika chanzo hicho cha maji katika kijiji cha Msange . |
| Emanuel Mlelekwa wa Standard fm akipanda mti. |
| Cales Katemana wa Standard fm na Miliki wa Blog hii akipanda mti. |
| Mkuu wa wilaya akiongea na wakulima baada ya kupanda miti. |
| Poz la Picha ya pamoja na wananchi. |



0 Comments