KONGANO LA SIKU MBILI LA WADAU WA ALIZETI LAFUNGULIWA LEO

Mkuu wa wilaya ya Singida Bw Elias Tarimo

Mkuu wa wilaya ya singida Elias john tarimo amelipongeza shirika la sido mkoani hapa kwa kusimamia kikamilifu na kuunga mkono sera ya awamu ya tano inayolenga kuendeleza viwanda hapa nchini.
Tarimo ametoa kauli hiyo  wakati akimuwakilisha mkuu wa mkoa wa singida dr Rehema nchimbi katika ufunguzi wa warsha ya siku mbili kuanzia leo hadi kesho march 27 inayowajumuisha wakulima wa alizeti na usindikaji yani kongano ilyofanyika katika ofisi ya jengo la ukaguzi mkoa.

Meneja wa Sido mkoa wa Singida Shomi Kibende 
Kwa upande wake meneja wa sido mkoa wa singida bi shoma kibende amesema lengo la kongano hilo ni kuweka ulewa wa pamoja katika kongano mbili zilizopo katika mkoa wa singida.




Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments