Rais wa shirikisho la wachimbaji madini Nchini Bw John Bina
leo anatarajia kuwa na ziara ya siku mbili mkoani Singida
Akiongea na Standard Radio Bw Bina amesema lengo la ziara
hiyo ni kuongea na wachimbaji wa dogo mkoani Singida sambamba na kuhamasisha
juu ya ulipaji wa kodi ya serikali.
Aidha amewakumbusha wachimbaji wakubwa kushirikiana na
wachimbaji wadogo katika technolojia ili kukuza mitaji na kuongeza pato la
taifa.
Kwa upande mwingine amempongeza Rais John Pombe Magufuli kwa
namana anavyo simamia sekta hiyo ya madini nchini
Nae Mwenyekiti wa wachimbaji hao mkoa wa Singida Bw Robart
Marando amesema ujio wa Rais Bina ni faida kwa wachimbaji hao.
0 Comments