MKUU WA MKOA WA SINGIDA DR NCHIMBI AONGOZA UZINDUZI WA MAZOEZI


Baada ya matembezi kutoka katika ofisi ya mkuu wa mkoa mpaka katika  viwanja vya Mwenge sec Dr Nchimbi aliongea na viongozi mabali mabali , mazoezi hayo yatakuwa yakifanyika kiala wiki ya pili ya mwezi viongozi mbali mabali walikuwepo pamoja na mkuu wa wilaya ya Singida Elias Tarimo mbunge wa Singida mjini Mussa sima kamanda wa polisi Debora magirigimba n.k





Polisi wakionyesha jinsi ya kukamata waalifu.

Timu ya karate  ya mkoa wa Singida.

Meza kuu kushoto ni kamanda wa polisi mkoa Debora magirigimba, Dc Tarimo Mkuu wa mkoa Dr nchimbi, Mbunge wa Singida Mh sima na Mkiti wa halmashauri ya Singida Elia Digha

mashindano ya kumbia na gunia.


Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments