WAZIRI WA NISHATI DR MEDARD KALEMANI AZINDUA REA AWAMU YA TATU WILAYA YA SINGIDA

Waziri Dr Kalemani wakati akiongea na wananchi wa kijiji cha Ikhanoda wilaya yaSingida wakati akikabidhi  mradi wa Umeme wa Rea awamu ya tatu wakandarasi wa kampuni ya CCCE kutoka nchini china.


waziri Dk Kalemani akisalimia na Afisa uhusiano wa shirika la ugavi wa umeme Tanesco mkoa wa Singida 


Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida ACP Debora Mgirigimba akiota wito kwa wanchi juu ya kuwa watulivu na kufuata sheria za nchi hasa wakati huu kuelekea katika sikukuu za xmass na mwaka mpya.







Waziri Kalemani akionyesha kifaa maalum kwaajili ya kuunganishia umeme majumbani kinacho patikana kwa bei nafuu .

Waziri akikabidhi nakala ya mkataba kwa wakandarasi hao kutoka kampuni ya CCCE 

Katibu tawala wilaya ya Singida Bw Wilson Shimo akiongea na wanachi baada ya waziri kumaliza kuhutumbia 

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments