| Mwenyekiti Mstaafu wa CCM wilaya Bw Narumba amesema kuwa tuachekunyosheana vidole ndani ya CCM. |
| Mwenyekitia wa Halmashauri ya Singida Mh Elia Digha amsema kuwa wana CCM tudumishe umoja wetu tuache propaganda za makundi ndani ya chama tuwekitu kimoja ndiyo msingi wa ushindi tu, |


0 Comments