| Yanga wakiingia Namfua huku makomando wakiliongoza basi lao |
| Singida united wakijibu mapigo baada ya Yanga kuingia uwanjani huku makomando wakiwa katika sare maalum ya YARA. |
| Waandishi wa Habari nguli kushoto ni Abby Nkungu wa Habari leo katikikati ni Leonard Manga TBC na Nathaniel Limu wa Mtanzania. |
| Mzee huyu akifanya mawasiliano na Fanilia yake huku akiwa amekaa chini. |
| Kipa wa Yanga Rostad kabla ya mchezo huo alionekana akifanya vitu flani vya imani hapo alimwaga ungaflani wakiwa hapo kupitia mkono wake wa kulia. |
| Mgeni rasimi mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida na Mbunge wa Singida Mh Matha Mlataa akiongozana na mkuu wa Ufundi wa TFF Salum madadi kwenda kukagua timu. |
| Kabla mpira kuanza kipindi cha kwanza chulwa alikwenda kwenye benchi la Singida united na kumkumbatia Plujin kwa tabasamu kitu ambacho kiliwashangaza watu kibao nakuzua shangwe. |
| Kelvin yondan akiwachini baada ya kupambana na Deusi kaseke ambaye alikuwa mwiba mkali sehemu ya kiungo. |



0 Comments