Mkuu wa wilaya ya Singida Bw Elisa Tarimo akiongea na washiriki wa semina hiyo yasiku mbili. |
Imeelezwa kuwa ili kuhakikisha haki inatendeka kwa akina mama juu ya suala la kumiliki aridhi pamoja na mali nilazima elimu itolewa katika jamii .
Akizungumza katika semina ya kuwajengea uwezo kuhusuana na haki ya kumiliki ardhi mkuu wa wilaya ya Singida Bw, Elias John Tarimo amesema lazima elimu itolewe ikiwa ni pamoja na kuandaa wosia
Amesema upowajibu wa kutoa haki kwa mwanamke wakati wa uhai pamoja na kuzungumzia suala la mabaraza ya aridhi
Bw, Tarmo amesema lengo la kuweka mabaraza ya aridhi ni kuhakikisha haki inatendeka kwa kila eneo na kila mwananchi.
Bi Happy Frances ni mratibu wa SIRVICONET akielezea lengo la semina hiyo katika uzinduzi uliyofanyika katika ukumbi wa manispaa ya Singida. |
wajumbe wa bodi ya SIRVICONET wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya Singida. |
Madiwani wa Manispaa ya Singida ni mmoja ya washiriki katika semina hiyo. |
0 Comments