DIMBA LA NAMFUA KUKARABATIWA MAANDALIZI YA VODACOM 2016/1

Wakwanza kushoto  ni katibu msaidizi wa CCM mkoa Adamu pamba wa pili ni mjumbe wakamati kuu TFF kanda ya kati Hussein mwamba mkuu wa fundi TFF Salum madadi na mkiti wa kamati ya ukarabati wa uwanja wa Namfua Hassan Tati wakiwa katika ukaguzi wa awali wa uwanja huo wa Namfua Singinda.

Salum madadi mkuu wa ufundi wa TFF 

Hassan Tati




ukaguzi wa ukumbi wa ndani ya uwanja wa Namfua

choo

jukwaa kuu

wataalamu wakifanya vipimo kabla ya kuanza ukarabati.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments