Serena Williams |
Venus
anayeorodheshwa wa 13 alimshinda raia mwenza wa Marekani Coco Vandeweghe 6-6,
6-2 na 6-3 kutinga fainali yake ya kwanza tangu 2009.
Serena
anayeorodheshwa wa pili alimshinda raia wa Croatia Mirjana Lucic-Baroni 6-2 6-1
katika nusu fainali ya pili.
Serena anataka
kuvunja rekodi ya Open Opera kwa kujishindia mataji 23 ya Grand Slam.
Itakuwa ushindi
wa saba wa Australia Open kwa Serena huku Venus akitarajia kushinda taji lake
nane .
0 Comments