MATUKIO YA MCHEZO WA SINGIDA UNITED VS MVUVUMWA FA CUP NAMFUA



Mgeni rasimi katika mchezo huo wa FA CUP kati ya Singida United na Mvuvumwa fc alikuwa mkuu wa wilaya ya Singida Elias Tarimo wapili kutoka kushoto matokeo ni timu ya Singida united iliibuka na ushindi wa 2-0
Edibili Lunyamila mchezaji wa zamani wa Taifa na Yanga sasa hivi ni kocha msaidizi wa Mvuvumwa fc ya Kigoma









Mfadhili na mlezi wa timu ya Singida united Yussuf Mwandami















Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments