LIGI YA KINGU CUP YAMALIZIKA WILAYANI IKUNGI

Mh Elibariki Kingu akiongea na wachezaji baada ya mchezo kumalizika huku Mwaru wakiibuka kidedea .
Mgeni rasimi Mh Kingu akikaribishwa kuongea na timu zote
kamati ya ligi ikiongozwa na m/kiti wa chama cha soka wilya ya Ikungi Mika Likapakapa (track suti nyeupe)
timu ya kata ya Mtunduru
Kombe la bingwa wa ligi ya Kingu Cup mbunge wa wilaya ya Ikungi mghalibi Elibariki Kingu fainali hiyo ilikutanisha timu za Nwaru na mtunduri huku bingwa akipatikana kwa mikwaju ya matuta Nwaru fc mchezo uliyofanyika katika viwanja vya shule sekondari ya Sepuka, katika mchezo huo mgeni rasimi alikuwa Mh Kingu mbunge wa jibo hilo la Ikungi maghalibi huku mshindi wa kwanza akijinyakulia zawadi ya kombe lenye dhamani ya sh 5000,000 pamoja na seti moja ya jezi mshindi wa pili jezi na watatu pia.






Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments