shule hiyo ya Ikumese ipo wilaya ya Singida (v) inawaalimu 5 tu na hayo ni madarasa ya awali na ofisi ya mwalimu mkuu. |
kupitia nguvu za wanchi sasa shule hiyo imeweza kujenga madarasa mawili na ofisi ya waalimu. |
Vyoo vipya vya wanafunzi wa kike baada ya kukamilika vyenye matundu 4 |
tundu moja wapo kati ya manne |
choo cha waalimu kwa ndani |
choo cha waalimu kwa nje |
nyumba ya waalimu ikisubili kuezezwa bati |
Nyumba ya mwalimu mkuu |
katikati ni m/kiti wa kijiji cha Uhandi B bw Rajabu kiuwa na kushoto ni Emmanuel saidi mjumbe tukiwa nje ya madalasa ma wili yanayotumika sasa na wanafunzi wa darasa la kwanza mpaka la saba. |
madalasa mapya yaliyojengwa kwa nguvu za wanachi |
mjumbe wa kamati ya kijiji akinielezea juu ya ahadi ya diwani wa kata hiyo ya uhandi b kuwa ataweka kivuko katika kolongo hilo ambalo wakati wa mvua wanafunzi awawezi kuvuka kwenda shule. |
0 Comments