UCHAGUZI MKUU WA CHAMA CHA SOKA MKOA WA SINGIDA (SIREFA ) WAFANYIKA LEO

Bartazar kimario akishukulu wajumbe kwa kumpa kura za kuwa m/kiti wa chama cha soka mkoa wa singida.
wakati wa kuhesabu kura za m/kiti
Hussein mwamba akiomba kura kwa wajumbe awali alikuwa ni katibu mkuu wa chama mkoa wa singida.
Eliud Mvella Kaimu mkurugenzi wa sheria na wanachama TFF
mgeni rasimi Hennry kapela Afisa michezo mkoa wa singida
Mkiti wa chama cha soka mkoa wa Singida Mh Bartazar kimario akifungua mkutano kabla ya uchaguzi kuanza kulia ni Afisa michezo mkoa wa Singida Henry kapela kushoto ni Kaimu mkurugenzi wa sheria na wanachama TFF Eliudi Peter Mvella.
Dominina Madeli makamu mwenyekiti kamati ya uchaguzi TFF
uongozi uliyopita 


MATOKEO YA UCAHAGUZI HUO

MWENYEKITI- BARTAZARY KAMARIO - KURA 13 (65%)

KATIBU -HAMISI KITILA - KURA 17 (85%)

KATIBU- MSAIDIZI - DAFFI .E. DAFFI KURA - 14 (60%)

MJUMBE WA MKUTANO MKUU TFF-OMARY HAMISI- KURA-19 (95%)

MWAKILISHI WA VIRABU-GABRIEL GUNDA-

KAMATI YA UTENDAJI.

YAGI MAULIDI- KURA- 19 (95%)

ELISANTE JOHN MUMBIGA-KURA- 15 (70%)

SEBASTIAN JINGU LYIMU -KURA 13 - (60%)





















Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments