Mkuu wa Takukulu mkoa wa Singida Joshua Msuya.Klabu mbalimbali za kupambanana Rushwa zimetakiwa kuhakikisha zinakuwaimala naendelevu ili kuweza kuhamasisha jamii katika kupambana na kupiga vita rushwa, akiongea katika mdahalo uliyofanyika katika ukumbi wa chuo cha uhasibu kampas ya Singida mkuu wa Takukulu mkoani Singida Joshua Msuya amesema lengo la klabu hizo kuwepo shuleni pamoja na vyuoni ni kuakikisha inasaidia kupambana na rushwa. |
0 Comments