Klitschok apanda ulingoni na kusema yupo teyali kwa mpambano |
Bondia nyota wa Uingereza, Anthony Joshua amemtwanga Eric
Molina kwa KO katika raundi ya tatu.
Katika pambano hilo Joshua amemchakaza Molina vilivyo na sasa
anamtaka Wladimir Klitschko ambaye pambano lao sasa litapigwa Aprili 29
hapohapo kwenye Uwanja wa Wembley jijini London.
Baada ya ushindi huo wa Joshua, Klitschko aliyekuwa
ukumbini, alipanda jukwaani hapo na kuzungumza kuhusiana na pambano hilo la
Aprili 29, kwamba yuko tayari.
0 Comments