Viongozi wa ngazi ya kata, watendaji na wakuu wa
idara mbalimabli manispaa ya Singida
wametakiwa
kufanyakazi ili
kutekeleza ilani ya chama tawala.
Kauli hiyo imetolewa na mbunge wa jimbo la Singida
mjini Mh mussa sima katika mkutano uliyo fanyika katika ukumbi wa ofisi ya
manispaa ya Singida lengo la mkutano huo uliyoandaliwa na mbunge ikiwa ni kujadili matatizo mablimbali na
changa moto zinazo wakabili.
Watendaji walipata fulsa ya kuelezea changamoto
wanazo kutananazo na kutoa maombi.
0 Comments