Mkurugenzi
wa halmashauri ya manispaa ya Singida Bw Bravo Kizito amesema vyumba vya
madarasa kwa ajili ya kuwapokea wanafunzi wa kidato cha kwanza mwakani
yamekamilika.
Bw Kizito
amesema hayo leo wakati akiongea na waandishi wa habari ofisini Kwake
Amesema
idadi hiyo pamoja na ziada ya vyumba sita vya madarasa kutawezesha halmashauri
ya manispaa ya singida kupokea wanafunzi wote kama inavyotakiwa
0 Comments