Kikosi kilichotia fola afande BALLOTEL ndani
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John
Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wakati alipoingia katika uwanja wa
Uhuru Jijini Dar es Salaam kuhudhuria katika sherehe za Miaka 55 ya Uhuru wa
Tanzania bara .
|
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt.John Pombe Magufuli (katikati) akifuatana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na
Usalama Jenerali Devis Mwamunyange baada ya kukagua gwaride maalum la Vikosi
vya Ulinzi na Usalama katika sherehe za Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania
bara zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam,[Picha na
Ikulu.] 09/12/2016.
|
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe,Majaliwa Kassim Majaliwa katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika
sherehe za Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania bara zilizofanyika leo,ambapo mgeni
rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe
Magufuli,[Picha na Ikulu.] 09/12/2016.
Tuandikie Maoni Yako Hapa
0 Comments