cheki jamaa wanavyo salimiana hakuna kuangaliana usoni baada ya Wenger kuchomoa dk za mwishao. |
baada ya mvutano mkubwa na Guadiora Yaya jana amepiga bao 2 katika ushindi wa Man city dhidi ya Palace 2-1 |
Rais wa
Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Gianni Infantino ana mpango wa
kuiimarisha michuano ya Kombe la Dunia kwa upande wa klabu, ifikie kuwa na timu
hadi 32.
Infantino
anataka timu ziongezeke kutoka saba hadj 32 ili kuongeza utamu na mpango wake
anataka uanze mwaka 2019.
Infantino
ameliambia gazeti la michezo la Gazzetta dello Sport na lile la El Mundo
Deportivo kwamba anaamini hilo linawezekana.
Michuano
ya Kombe la Dunia la klabu mwaka 2015 iliyofanyika nchini Japan kama ilivyo
ada, iliingiza faida kupitia matangazo kiasi cha dola million 20 ambacho
kilionekana ni kiasi kidogo kwa kuwa michuano ya mwaka 2014 iliyofanyika nchini
Morocco iliingiza hadj cola million 40.
coach wa Liverpool klop baada ya kutoka safe na Southamton |
0 Comments