Imeelezwa kuwa lengo la umoja wa mafundi ujenzi na
miundombinu mkoa wa singinda nikuhakikisha wanawakusanya pamoja na kuwasimamaia
mafundi hao ilikuweza kupata masilahi yao.
Hayo yamebainishwa na katibu mkuu wa umoja wa mafundi ujenzi
na miundo mbinu mkoa wa Singida Bw, Lucas Labani Mlau wakati akizungumza
ofisini kwake
Bw,Mlau amesema umoja uhuo mbali na kuwakusanya paomja
mafundi wananwasimamia ilikuhakikisha wanapata masilahi yao kutokana na kazi
wanazo zifanya zaujenzi ilikuinua vipato vyao.
Amesema changamoto kubwa wananyo kabiliana nayo nibaadhiya
mafundi ambao hawajajiunga kwenye umoja huo kujenga majengo ambayo yako
chini ya kiwango suala linaloleta picha mbaya kwa mafundi.
Amesema wao kama umoja wa mafundi mkoa wa singida
wananhakikisha nyumba inajengwa kwa ubora unaotakiwa naikitokea wamembaini
mmoja wa wanachama amejenga chini ya kiwango umoja huo unaigia garama ya
kujenga upya
0 Comments