| M/kiti wa baraza la madiwani Elia digha akifungua kwa sala. |
| Mkiti wa baraza Elia digha akifungua kikao |
| wakuu wa idara wakisikiliza kwa makini |
| Mkuu wa wilaya ya Singida Elias JonhTarimo amewataka watendaji wa kata ,madiwani pia kuakikisha wanasimamia ukusanyaji wa kodi katika katazao huku akihimiza wananchi kuweka akiba ya chakula. |
| Mkuu wa wilaya akifafanua jambo. |
| Meneja wa Tanesco mkoa Singida Gamba mauggila akifafanua jambo |



0 Comments