| Add caption |
| Katikati ni Miraji Mtaturu mkuu wa wilaya ya Ikungi kushoto ni Bartazari Kimario M/kiti wa chama cha soka mkoa wa Singida na kushoto ni Elias Tarimo mkuu wa wilaya ya Singida |
| Mkuu wa wilaya ya Singida Elias Tarimo akikagua Timu |
| Singida United |
| Mmoja wa viongozi wa benchi la ufundi la Polisi mara Kajeri akitoa maelekezi |
| Mussa Sima mbunge wa Singida mjini akiongea na simu pembeni ni Mh prf Maji marefu mbunge wakiangalia gemu. |
| Mashabiki wa Singida United akimfuta viatu mwezake baada ya kupata bao la kwanze |
| Kipa wa Polisi mara Mchumila |
| Mwamuzi wa mchezo akizongwa baada ya kutoa penat kwa singida United penati hiyo ilizaa goli la pili. |
| Razak Kharfan akipiga mkwaju wa penati kufunga bao la ushindi. |



0 Comments