TANESCO MKOA WA SINGIDA YATOAKAULI JUU YA UPOTEVU WA NYAYAZAKE



Hafisa habari wa shirika la umeme TANESCO mkoa wa Singida Whithney akifuatalia maongezi yetu.


Wananchi mkoani Singida wametakiwa kutoiba vyuma vya umeme wa Tanesco kwani kwa kufanya hivyo ni ujuma kubwa kwa uchumi wa Taifa .

kauli hiyo imetolewa leo na meneja wa Tanesco mkoa wa Singida bw Gambo mahugila wakati akizungumza ofisini kwake baada ya kupata taarifa juu ya kukamatwa kwa mfanyabiashara wa vyuma chakavu akiwa na nyaya za Shirika la umeme Tanesco.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments