Jeshi la polisi
mkoani Singida limefanikiwa kuwatia mbaloni wauzaji wa madawa ya kulevya
aina ya Kokeini huku wakikamatwa na gramm mbili za madawa hayo.
Kamanda wa polisi mkoa Singida Peter kakamba akitoa ufafanuzi juu ya madawa hayo. |
Waandishi wa habari wakipokea taarifa kutoka kwa kamanda wa polisi mkoa . |
0 Comments