SEMINA ILIYOANADLIWA NA SHIRIKA LA TPDC MKOANI DODOMA YA MALIZIKA SALAMA

baadhi ya waandishi wa habari wa mkoa wa singida na dodoma wakiwa kwenye semina iliyoandaliwa na shirika la mafuta tanzania(tpdc) kwa lengo la kujengewa uwezo wa kuandika na kutangaza masuala ya gesi na mafuta ili wananchi waweze kuwa na ufahamu mkubwa wa raslimali hiyo

Elisante mkumbo wa ITV 
 baadhi ya waandishi wa habari wa mkoa wa singida emmanuel michael(wa pili kulia) akiperuzi masuala ya gesi na mafuta wakati wa semina ya siku moja kwa waandishi wa habari wa kanda ya kati,(mikoa ya singida na dodoma)

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments