Mgeni rasimi katika mchezo wa fungua diba kati ya Singida united na Mgambo kutoka Tanga alikuwa ni mkuu wa mkoa wa Singida Eng Mathew mtigumwe viongozi wengine waliyo kuwepo katika mchezo huo ni wakuu wa wilaya ya manyoni,ikungi na singida na meya msaidizi wa manispaa ya singida

|
0 Comments