Chama cha waamuzi wilaya ya Singida manispaa kimefanya uchaguzi wake leo hii katika ukumbi wa chama cha waalimu CWT jumla ya wajumbe waliyo shiriki katika uchaguzi huo uliyo simamiwa na Albati kasoga (katikati).
Bw james kitila akiomba kura kwa niaba ya mgombea wa nafasi ya m/kiti |
Abdala mwinyimkuu akiomba kura katika nafasi ya makamu m/kiti |
Bw Hassan kingu akiomba kura nafasi ya katibu msaidizi |
Shaban msangi akiomba nafasi ya uwakilishi ngazi ya mkoa wa Singida. |
Bi Waziri akiomba kura ya uwakilishi wa waamuzi wa kinamama |
wajimbe wakipiga kura. |
Bw Albati kasoga msimamizi wa uchaguzi huo akisoma matokeo ya uchaguzi huo wa (FLAT) |
makamu ni Abdala mwinyi mkuu kura za ndiyo 12 moja ndiyo hapana.
katibu mkuu ni Siachitema kawinga kura 12 na moja hapana.
katibu msaidizi kura Hassn kingu 12 hapana 1.
mweka azina Meshaki isuda 12 na hapana 1.
mwakilishi mkutano mkuu wa mkoa Shabani msangi kura 13 hapana 0.
mjumbe wanawake Waziri kura 13 hapana 0.
0 Comments