kocha wa timu ya Majengo queens Mohamed kweka akisimamia viliyo maandalizi ya timu hiyo ambayo inajiandaa na ligi kuu ya wanawake taifa inayotarajia kuanza kati ya oct 6 zoezi la usajili linaendelea mpaka sasa jumla ya wachezaji 24 wamekwisha sajiliwa. |
0 Comments