Ligi daraja la kwanza Tanzania bara inategemea kuanza
rasmi kesho katika viwanja mbalimbali hapa nchi huku timu balimbali zikiwania
kusaka pointi tatu muhumu ilikujiweka katika hali nzuri.
Mkoani Singida wawakilishi wa mkoa Singida United
wataingia uwanjani hapo kesho katika uwanja wa Namfua kukipiga na mgambo JKT
kutoka Tanga.
Mpaka sasa maadalizi ya mchezo huo yamekamilika asilimia
tisini ambapo kiingilio katika mchezo huo ni Sh,2000kwa watu wazima huku watoto
ni sh,500 magari ni sh,1000na pikipiki ni sh500.
Joni Willium nikocha mkuu wa timu ya Mgambo JKT ameongea
na kipindi hiki kuhusiana na maandalizi ya timu yake dhidi ya Singida United
hapo kesho.
Mgambo jkt wakijifua jioni ya leo sep 23 katika dimba la Namfua |
basi la Mgambo Jkt kutoka Tanga |
0 Comments