MIZENGO PINDA ATEMBELEA BADA LA IKUNGI NANE NANE -DODOMA

 

Kushoto Mkurugezi Mtendaji wa Halmashauri ya Ikungi Justice Kijazi na Mkuu wa Wilaya ya Singida Godwin Gondwe (kulia) wakitazama bidhaa na Waziri Mkuu mtaafu Mizengo Pinda .

 
Katikati ni Waziri Mkuu mstaafu Mhe. Mizengo Peter Pinda akisaini kitabu cha wageni katika banda la maonesho ya Nane nane la Wilaya ya Ikungi (kushot)o ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Justice Kijazi kulia ni Afisa Kilimo wilaya hiyo Gulisha Msemo. 



Ikungi –Nane nane

Na Mwadishi wetu.

Mhe. Mizengo P. Kayanda Waziri Mkuu mstaafu ambaye leo alikuwa mgeni maalumu kwenye maonesho ya nanenane Dodoma ametembelea banda la Ikungi na kuona bidhaa zinazalishwa Ikungi kutoka kwa wakulima wajasiriliamali na baadae pia kutembelea vipando venye mazao ya Alizeti ,Mtama na Vitunguu.

Mhe Mizengo Amefurahishwa na vipando hivyo na kupongeza timu nzima ya Halmashauri kwa kazi nzuri, pia amefurahishwa na Afisa ugani msimamizi kwa kazi nzuri na kuagiza kuwa maafisa ugani wote wanatakiwa kuonesha utaalamu wao na kufanya vizuri kwenye sekta ya uzalishaji.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments