PIRATO WA MCHEZO WA YANGA NA MASANDA WANA NA ABOGILE TOM KUAMUA YA MNYAMA .

 


Mwamuzi Amin Mohamed Omar kutoka Misri ndiye atazisimamia sheria 17 za soka katika mchezo wa Yanga SC dhidi ya Mamelodi Sundowns Jumamosi hii.
  

                              
 Mwamuzi Abongile Tom (32) kutoka Afrika Kusini ndiye ataamua mchezo wa kesho kati ya Simba SC dhidi ya Al Ahly SC ya Misri.

Mwamuzi huyu wa kimataifa amekuwa akitumika zaidi katika mechi mbalimbali za kimataifa ikiwemo michuano ya AFCON iliyofanyika Ivory Coast mwaka huu.

Abongile ndiye aliamua mchezo wa hatua ya makundi ya #CAFCL kati ya Wydad AC dhidi ya Simba SC iliyopigwa Desemba, 2023 nchini Morocco na kumalizika kwa 1-0 goli la dakika za Jioooni.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments