KUTOKA VIGWAZA MKOA WA PWANI AJALI YA MASHABIKI WA TIMU YA SIMBA.

aina ya coaster iliyokuwa imebeba mashabiki wa Simba ikitokea Mbeya kupata ajali ya kugongana na Lori leo alfajiri majira katika eneo la Vigwaza mizani Mkoa wa Pwani.

Taarifa za awali ambazo zimethibitisha na Mwenyekiti wa kijiji cha Vigwaza zinaeleza kuwa gari hiyo iliyokuwa imebeba mashabik wa Simba ilikuwa inatokea MkoaniMbeya kuelekea Jijini Dar es Saalam.

Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa katika zahanati ya Vigwaza kwa ajili ya kupata matibabu zaidi na wengiñe kituo cha afya chalinze.@simbasctanzania






 

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments