DC GODWIN GONDWE KAZI IMEANZA WILAYA YA SINGIDA,





DC Godwin Gondwe amemuwakilisha mkuu wa Mkoa wa Singida katika fainali ya ligi ya wanawake ngazi ya Mkoa wa Singida mchezo uliyochezwa katika dimba la CCM Liti (Namfua).




Dc Gondwe amekutana na viongozi wa dini mbalimbali kutoka madhehebu ya kikristo na kiislamu wa wilaya ya Singida na kuongea nao ofisini kwake wakiwa na kamati ya ulinzi na




Dc Gondwe ametembelea miradi mbalimbali ya maendeleo ya Manispaa ya Singida ikiwemo ujenzi wa jengo la utawala na Hospital ya Manispaa ya Singida.


Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego amekutana na wafanyakazi wa Manispaa ya Singida na kuongea nao juu ya mpango mkakati wa maendeleo ya Wilaya ya Singida.





DC Gondwe ametembelea makao makuu ya Wilaya ya Singida Dc yaliyopo mjimdogo wa Ilongero na kuongea na Baraza la Madiwani wa Halmashuri ya Wilaya hiyo sambamba na kamati ya wataalamu ya Halmashauri (CMT).



 usalama.



Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments