RAISI SAMIA AONGOZA MAMIA KUMZIKA LOWASSA MONDULI.












Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine katika mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa, Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024.


Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments